Details
Description
Linapatikana kiwangwa bagamoyo bago.kwabey ya tsh laki 4 kwakila heka 1.umbali kutoka bala bala kuu ya B. msata Rodi.kwenda shambani kunaumbali wa km 8 nakatika heka hamsini hizo.zilizo limwa mahindi na migomba zipo 4 na bala bala ya shamba IPO mpaka shamba