Details
Description
Zinapatikana kiwangwa bagamoyo Kijiji cha bago morwe.kwabey ya tsh laki nne kwakila hekali 1zilizolimwa nakupandwa mahindi ZIPO heka 4 kwenyeheka 50 umbali.kutoka bala bala kuu ya Lami msata Rodi kwenda shambani.kunaumbali wa km 8 bala bala yagali IPO mpaka shamba