Details
Description
Linapatikana kiwangwa bagamoyo pwani.kata ya talawanda.kijiji Rudiga kitongoji cha kiembe.kwabei ya tsh milioni mbili na laki tano Kwa kila hekali 1 Na umbali kutoka bala bala kuu yalami msata bagamoyo rodi.kunaumbali wa km 12.mpaka Shamba.Na kutoka chalinze mjini mpaka shambani kunaumbali wa km 13 pia bala bala ya Shamba IPO mpaka shamba.na IPO vizul na inapitika Muda wowote.