Details
Description
Shamba lenye ukubwa wa ekari 1½ limepimwa surveyed becon teyari, eneo lote lipo level moja, limepimwa viwanja vitatu vyenye ukubwa wa sqm 2000, hati zipo on process. Barabara ni pana inayo pitika vipindi vyote. Eneo lina nyumba ya vyumba 2 , tanki kubwa la matofari la kuhifadhia maji lenye ujazo wa Lita 15,000. Umeme upo mita chache kutoka eneo lilipo. Location Kama unatokea Kwa MATIASI unafuata barabara mpya ya LAMI inayojengwa kuelekea Kambi ya jeshi la NYUMBU, baada ya kambi ya jeshi,ut