Details
Description
Shamba zuri lenye rutuba na linalofikika kiurahisi kwa Gari misomu yote. Lipo eneo la CHANGEDERE/KKMANZICHANA-MKURANGA. Wastani wa kilomita 90 kutoka POSTA, Dar es salaam na ni umbali wa kilomita 13 tu kutoka Barabara ya KILWA. Shamba lemendelezwa. Kuna Nyumba kubwa ya vyumba vitatu, Kuna Kisima na Tank za kuhifadhia Maji. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.100,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Tafadhali Wasiliana nami iwapo unaridhia. __zmp