Details
Description
Shamba liko Bagamoyo Kimere liko umbali wa kilometa moja kutoka barabarani lina document za serikali ya Kijiji shamba linafaa kwa kilimo na ufugaji na liko tambalale na lina Ukubwa wa Eka 20 Linauzwa Milioni mbili kila eka moja kalibuni sana.