Details
Description
Hili ni Shamba zuri, safi linaloisngalia Barabara ya Lami ( LINATUMIKA) Eneo ni MBWEWE. Ni mbele kidogo ya WAMI na MANDELA ukitokea Dar kuelekea ARUSHA/TANGA . Ni umbali wa kilomita 165 tu kutoka Dar es salaam. Kwa Gari wastani wa Masaa 3 kwa Bus. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________sbs Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.