Details
Description
Eneo bora kabisa kwa makazi Loction kihaga mail moja Eneo lipo nyuma ya Tumbi mwanalugari ukubwa Qmt 8000 ni Eneo zuri mno linafaa makazi kanisa shule na ufugaji eneo ni bora mno mawasiliano piga WhatsApp 0715352497/0755352497 ndani kuna migomba zaidi ya 400 kuna kisima cha kuhifadhi maji tank kubwa lita 45000 maji yakuvuta tu yapo site kuna nyumba umeme mita 100 tu