Details
Description
Maeneo ni mazuri yanapitika barabara zipo,umeme upo,maji yapo,passcode za Nape zipo,majengo magorofa yameshajengwa na huduma zote za kijamii zinapatikana. Kigamboni karibia na Watumishi house kunaitwa Muongozo.La kwanza ni heka 1.3 heka sehemu ni nzuri sana wawekezaji wanakaribishwa kwa biashara mbalimbali shells hosptal shule nk