Details
Description
KARIBU TENA MTEJA WETU HUU NI MRADI MPYA UPO KIGAMBONI KISARAWE ii Km 14 kutoka ferry Km 3 kutoka barabara kubwa ya lami Mita 100 kutoka barabara kubwa ya vumbi Mradi Upo karbu kbs na Mr kuku Krb na kiwanda cha kutengeneza vifaaa vya umeme. Mradi uko na uduma zote za kijamii shule ya awali na chekechea,barabara za mitaa,umeme pmj na maji. Bei 20000 kwa mita moja ya mraba, Malipo in cash tu