Description
plot inauzwa mbweni jkt plot nzuri sana na bei yake nzuri mno ukilinganisha na plot zilizopo mbweni bei ya kitanzania ambayo haifiki milioni 200 ni chini ya milioni 180 we jiulize mbweni jkt mtaa wa tatu kufika baharini napenda uje uone ninachosema majilani wazuri sana