Details
Description
Hiki ni Kiwanja kizuri tambarare ambacho kipo umbali wa mita 500 tu kutoka Barabara yenye Lami. Eneo ni Block 2, TOANGOMA 'KWA-STANLY' Ukubwa ni SQM. 1,090. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Eneo limejengeka na ni Tulivu. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg