Details
Description
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.6,000. ( Soma: MITA ZA MRABA ELFU SITA) KIWANJA KIMEPIMWA. (Mchakato wa Hati umeshaanza) HAPA PANAFAA UWEKEZAJI MKUBWA WA KIBIASHARA. Kiwanja kinaiangalia Barabara ya Lami ya MBEZI/KINYEREZI __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.