Details
Description
Plot inauzwa ipo Ukonga Stakishari jirani kabisa na FQ HOTEL, Plot inaukubwa wa Sqm 1400, documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, plot ipo mita 800 kutoka barabara kubwa ya lami, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu