Details
Description
GEZAULOLE -- KIGAMBONI ?️Kipo nyuma ya hospital ya Gezaulole. ?️Ukubwa wa eneo ni Square meter 673. ?️Umbali ni 15Km kutoka ferry. ?️Umeme na Maji yapo. ?️Full upepo. ?️Kiwanja kina hati miliki. Bei Tsh. 30,000,000/= (Maongezi yapo)