Details
Description
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM 2449 Umbali kutoka barabara ya ramii ni mita 70 tu Kiwanja kinafaa sana kwa kujenga Luxury House/Apartments Kiwanja kipo Mtaa wa kishua zaidi, pia kipo karibu na Habart Kairuki Memorial University Kiwanja Kina hati milki (Title Deed) Bei 300milioni, mazungumzo yapo ●Wasiliana nami tupange lini nikupeleke site