Details
Description
Good location, Nice environment, Clean tittle deed, Nunua kiwanja kwa ukubwa unaotaka kulingana na bei ya ukubwa wa kiwanja au Sqmt na ulipe kidogo kidogo (installment) ndani ya miezi 6, 18, 20 au ulipe kwa pesa taslimu (cash) Lipa 20,000/= kwa Sqmt 1 sawa na 8,000,000/= kwa bei ya pesa cash (taslimu)