Details
Description
Eneo linauzwa Ambureni meru km 1.3 kutoka barabara kuu ya Ars-Ms, nusu acre ya size 20x50, eneo linaweza kutumika kama shamba au kwa ujenzi, eneo lipo pembezoni mwa mto wa maji tiririka, umeme pia upo jirani, eneo zuri lakjjani kizuri, piga simu kutembelea site. 0786812964