Description
NYUMBA INAUZWA, IPO gongo la mboto hadi darajani majumbasita, ipo karibia na huduma zote muhimu kama hospitali, shule zipo karibu. nyumba ipo Ulongoni A kata ya gongo la mboto, karibu na shule ya ABC CAPITAL INTERNATIONAL, INA BOMA LILILO EZEKWA UPANDE, KARIBU SANAA