Description
nusu eka inauzwa nanenane morogoro mjini, mtaa wa area 5, pamejengeka vizur , eneo lote limezungushiwa ukuta mkubwa, kuna kijumba kidogo cha servant, eneo lote limepimwa na serikali na lina hati miliki. umeme upo maji yapo, mtaa umetulia vizur sana. bei milion 45, piga 0652644084/0734443403 kupelekwa kuona eneo ni bure,