Description
Yakiwepo maji, Ongeza hospital pamoja na shule + jumulisha na udongo mwekundu, unavipata kwenye mradi mpya wa viwanja burka olasiti Arusha. Viwanja vimepimwa na ramani yake. Bei nafuu na viko karibu na barabara. Njoo ununue kiwanja sehemu nzuri na inayokuwa kwa kasi jijini Arusha. Wana yanga, simba Chelsea, Liverpool, Manchester bila kusahau na watu wa nguvu Arsenal mnakaribishwa. Kwa maelezo zaidi ya huitaji tuwasiliane kupitia 0755573432. Wahi kupata sehemu nzuri #kuuliza ni bure #viwanja #njiro #arusha #tanzania #makazi #millionmakazi #hapakazitu #daressalaam #nyumba #biashara #investors #uzachochote.com #ujenzi #nyumba #matofali #tiles #mafundi #wajenzi #followers #burka #olacity