04.12.2021Tanzania, Pwani
Details
Description
Kiwanja kinauzwa kiwangwa bago kalibu tu na bala bala ukubwa wa eneo ni nusu heka ndan ya kiwanja kuna mananas kuna bomba lamaji limesha vutwa kabisa mananas unavuna mwaka hu kiwanja kinauzwa milioni nane
Chat with Kipara
Call Kipara