Details
Description
Viwanja hivi vinamilikiwa na Property Investors Company (PIC) vina sifa: ⚫Vipo karibu na bandari kavu ya Kwala,inayoanza tumika hivi karibuni ⚫Ni Viwanja Kwa matumizi ya makazi na Biashara ⚫Kutoka Morogoro road vipo umbali wa km6 ⚫Viwanja vipo tambarare kabisa,na huduma ya maji,umeme,Shule zishafika site ⚫Bei ya Viwanja ni kuanzia million 2,na malipo ni kidogo kidogo Kwa mienzi 12 ⚫Tuna miradi mingine maeneo ya Misugusugu Kibaha,Pangani Kibaha,Kerege Bagamoyo,Bunju, Madale Mivumoni,Mabwepande