Details
Description
Mradi mpyaa wa Viwanja Lugoba Chlinzee Viwanja Vyetu Vimepimwa Lakini kubwa zaidi Unaweza lipia kidogo kidogo kwa miezi 20 ✅Bei kwa square meter moja ni 3000 Tsh , Viwanja Vinaanzia ukubwa wa Sqm 500 nakuendelea. ✅Mfano kiwanja cha sqm 500 ni 1,500,000 ambayo unaweza lipia 75000 kwa mwezi kwa miezi 20. ✅Viwanja vipo km 2 kutoka lami , huduma zote zimefika maji ,umeme ,soko ,shule ,hospitali ✅viwanja vipo tambarare kabisa ✅jumamosi ni site visit ,safari inaanza ofisini kwetu ✅karibuni sana