Details
Description
karibu umiliki viwanja kati kati ya makazi vilivyopo kigamboni mwasonga . bei ya square meter ni 7000 . malipo ni kwa awamu kwa miezi 6 viwanja vipo mjini na vina huduma zote za jamii kama maji , umeme, shule , hospital NK. nyaraka zote za umiliki utapatiwa na hati miliki tunakupatia . viwanja vinaanzia square meter 400 karibuni sana wateja wetu tuijenge kigamboni ofisi zetu zipo Gezaulole kigamboni