Details
Description
MASHAMBA yanauzwa, yapo kisarawe masaki,mita Mia tatu kutoka barabarani Bei ni shilingi laki nane tu,mashamba yanafaa kwa kilimo Cha Aina zote Kama mananasi, ndizi, mihogo, miembe,maharage, n.k na ufugaji Unaweza kulipa cash ama KIDOGOKODOGO, Anza na laki tano kisha ILIYOBAKI UTAILIPA NDANI ya miezi miwili au minne(mpaka SITA)karibuni Sawa kuja kuangalia MASHAMBA haya ni BUREE kabisaa.