13.11.2021Tanzania, Other Location

MASHAMBA YANAUZWA BEI NAFUU-CHALINZE

TZS 1 000 000

Details

Price per square unit
yes

Description

MASHAMBA YANAUZWA BEI NAFUU MAHALI: Pingo-Chalinze 1. Jumla ziko hekari 32 na eneo lina vichaka vichaka sio pori. 2. Kila hekari moja ni Tshs 1 million. Ruksa kulinunua lote ukitaka. 3. Eneo liko umbali wa 3km kutoka Barabarani. Hali ya barabara inapitika na usafiri wa aina yoyote. Umeme bado haujafika. 4. Makazi ya watu yapo ila yako mbalimbali kutokana baadhi ya makampuni na watu binafsi kuwa na maeneo makubwa. 5. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20 NB: Usikose fursa hii ya kumiliki eneo kwa bei nafuu.

Estate Professional Brokers

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Other Location