Details
Description
Nauza mashamba yanafaa kwa kilimo ufugaji mashamba yapo kisarawe-masaki mita Mia tatu kutoka barabara kuu mashamba yanafaa kwa kilimo Cha mihogo,mahindi,miembe,mananasi n.k MASHAMBA pia yanafaa kwa ufugaji na upatikanaji wa maji Ni rahisi kwani katikati ya shamba Kuna mkondo wa maji, Bei ni shilingi laki tano tu kwa ekari, kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0621868687 au 0656488722