Details
Description
Karibu umiliki Mashamba yalio Pimwa Na yenye Hati Miliki kwa malipo Ya kidogo kidogo Kwa Miezi 13 ✅ Mashamba Yetu yapo Bagamoyo Talawanda Yapo kilometre 14 Tu kutoka barabara Ya lami. Huduma za Maji , barabara , Umeme Vipo Katika Mashamba Yetu . ✅ Mashamba Yetu Yana Rutuba Nzuri kwa Kilimo na pia uoto Wa Kutosha kwa Ufugaji ✅ Mashamba yanaanzia ukubwa wa Ekari Moja kwa bei Ya 1.3 million kwa Malipo Ya laki moja kwa miezi 13 Karibuni Sana Tuwekeze Talawanda ,Mali Ipo Shambani