Details
Description
Mashamba Bagamoyo MKENGE 🔸 Mashamba Yapo Umbali Wa Km 7 Kutoka Barabara ya lami Msata road 🔸ukubwa wa mashamba ni Ekari Moja 🔸 Bei kw Ekari moja 1,500,000 🔸lipia kidogo kidogo kwa miezi 15 , Laki moja kila mwezi 🔸 Mashamba yamepimwa, Tunatoa Na Hati Miliki 🔸 Huduma za kijamii zipo jirani na mashamba 🔸udongo una Rutuba ni kichanga na mweusi 🔸pia uoto upo wa kutosha kwa Kufanyia ufugaji ✅ Ofisi zetu zipo kivulini mlimani city , Siku ya Kutembelea Mashamba ni jumamosi. Tuwasiliane