Details
Description
Miliki Shamba La Ekari Moja (70 kwa 70) Bagamoyo Kiwangwa Kwa Kulipia Kidogo kidogo Kwa Miezi 15 🔸 Mashamba Yapo km 8 Kutoka Barabara Kuu Ya Lami Msata road 🔸 Mashamba Unaweza Tumia Kwa Kulima , Kufuga Na Makazi 🔸Eneo ni Tambarare Alina Mabonde 🔸Tumeshapima mashamba , Tunatoa Na Hati miliki 🔸Ekari moja bei ni 1,500,000 Lipia laki moja kila mwezi kwa miezi 15 ✅ofisi zetu zipo kivulini mlimani city ,siku ya Kutembelea Mashamba ni jumamosi safari Zitaanza Saa 2 na 30 Asubui. Nauli elf 10 Tu