15.04.2025Dar es Salaam

Mashamba Bagamoyo Kiwangwa

TZS 1 500 000

Details

Terms
Monthly in advance

Description

miliki Shamba Bagamoyo Kiwangwa Kwa Kulipia Kidogo kidogo kidogo kwa miezi 15 🍀 Mashamba Yapo kiwangwa bagamoyo 🍀 yapo Tambarare Na ya Rutuba ya kutosha yanafaa kwa makazi , Kilimo Na Ufugaji 🍀 Ukubwa wa mashamba ni Ekari moja 🍀bei kwa Ekari moja 1,500,000 lipia kidogo kidogo kwa miezi 15 laki moja kila mwezi 🍀 Tunatoa Na Hati Miliki ya Shamba ✅Site visit ni siku ya jumamosi safari zinaanzia kivulini mlimani city muda saa 2 na nusu Asubuhi ☎️0659491608

Emmanuel

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam