Details
Description
karibu Umiliki kiwanja chalinze Lugoba kwa kufanya malipo ya kidogo kidogo kwa mwezi 💥malipo ni bila Riba kwa muda wa miezi 20 💥viwanja vina ukubwa wa SQM 700 (35 kwa 20) 💥viwanja vimepimwa Tayari 💥Hati miliki utapewa bure bila Garama 💥viwanja vipo kilometre 3 kutoka barabara ya rami 💥huduma zote zinapatikana ,maji✅ umeme✅ 💥kutembelea Viwanja ni kila siku ya jumamosi 💥Ofisi zetu zipo Kivulini ,mbele ya mlimani city 💥Karibuni sana maboss Tuwekeze Chalinze Lugoba.