Details
Description
jipatie mashamba Bagamoyo Yenye Rutuba kwa Kilimo cha mananasi đmashamba yana ukubwa kuanzio Ekari moja đmashamba yapo kiwangwa ,Talawanda Bagamoyo đmashamba yamepimwa tayari đmashamba yana hati miliki đmashamba yamezungukwa na huduma za kijamii maji ,umeme , viwanda ,shule đ„Bei ya Ekari moja 1,300,000 . malipo utalipia taratibu kwa miezi 13 . đofisi zetu zipo kivulini ,mbele ya mlimani city đ„Site visit kila jumamosi nauli 10,000 tsh kwenda na kurudi. karibuni sana