Details
Description
Kiwanja kizuri, tambarare, mtaa tulivu na ambacho kipo umbali wa mita 70 tu kutoka Barabara ya Lami ya MAJUMBASITA/KINYEREZI. Ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hapa panafaa kuweka makazi yako tulivu au ukipenda Biashara ya Huduma za Makazi. Kumbuka ni jirani na Airport ya JNIA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg