17.02.2025Dar es Salaam

KIWANJA SQM.700 MBUYUNI

TZS 19 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 m2

Description

Hapa kuna viwanja viwili vilivyoungana na ambavyo unaweza kuunganisha (ukipenda) Kila kimoja ukubwa ni SQM.700. Na hiyo Bei ya Tshs.19 Milioni ni kwa kimoja. Eneo ni MBUYUNI, KINYEREZI. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam