22.04.2025Dar es Salaam

KIWANJA SQM.600,MBEZI AFRIKANA

TZS 70 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
600 m2

Description

Hapa Mmiliki ana eneo kubwa, kaamua kulikata(KUGAWANYA) vipande kadhaa. Eneo Zima LIMEPIMWA inasomeka ni Kiwanja kimoja. Pakikatwa itabidi kufuatilia Ardhi kila mmoja awe na umiliki wake binafsi. Ni umbali wa wastani wa mita 400 kutoka MATAA YA AFRIKANA,MBEZI UPANDE WA JUU, Na Mita 100 kutoka Lami. Hapahapa pia kuna Kiwanja chenye ukubwa wa SQM. 1,200, Bei yake ni Tshs.120 Milioni. Eneo ni tulivu. _____ ANGALIZO: MalipoyaDalalini10% Kuona ni Tshs.50,000. (UnalipaweweMNUNUZI) ____Abl/Dv

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam