Details
Description
Hiki Kiwanja kina Msingi pamoja na Chumba kimoja ambacho ni Masta. Kipo MABWEPANDE, Wastani wa kilomita 6 kutoka BUNJU-B. Bajaj zipo muda wote. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.