11.04.2025Dar es Salaam

KIWANJA SQM.3000, KILUVYA

TZS 110 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
3000 acreas

Description

Hapa kuna Kiwanja na, Nyumba ya vyumba 3, Pamoja na PAGALE lenye Vyumba 5 ambapo kila Chumba na Choo chake. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 3,000. Kina HATI (Title Deed) ya Wizara. Kimezunguushiwa Ukuta na Get lipo. Eneo KILUVYA KWA KOMBA (Upande wa Dar) Umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam