Details
Description
Hiki ni Kiwanja kizuri cha kwenye Kona, Na Chenye UMILIKI WA HATI (Title Deed) ya Wizara. Kipo umbali wa wastani wa mita 400 kutoka OFISI ZA MANISPAA YA UBUNGO na jirani zaidi na MAHAKAMA pale LUGURUNI/KIBAMBA. Ukubwa ni SQM. 1,500. Mtaa unajengeka kwa kasi. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.