Details
Description
Hiki Kiwanja ni kwajili ya Matumizi ya Biashara pamoja na Makazi. Kipo Sinza E. Kioo Mtaa mzuri na jirani na Lami. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________shd Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.