Details
Description
kiwanja cha kibiashara na makazi kinauzwa nanenane morogoro mjini. kimepakana na JORDAN UNIVERSITY, kipo mita mia moja kutoka barabara kubwa ya lami, ni karibu na shule ya mount fori, waweza jenga nyumba ya kuishi au HOSTELI ZA WANACHUO, kipo mita 20 kutoka chuo kikuu cha Jordani, umeme upo, maji yapo, ukubwa ni sqm 800. bei ni milion 25,