Details
Description
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.960. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Kipo GOBA MPAKANI/KWA POSOAPOSOA. Ni Kiwanja kizuri ambacho kipo tambarare. Pamoja Kiwanja unapewa Tofari 3,000. Hizi zinatosha kujenga nyumba nzima. Lakini zaidi kuna Mchanga na Kokoto nazo ni ndani Bei unayouziwa. Sasa Mungu akupe nini zaidi? Upendwehe? WAHI HII HAIJIRUDII ____ Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____mpg