05.06.2022Tanzania, Morogoro

Kiwanja mkundi sheli

TZS 6 500 000

Details

Price per square unit
yes

Description

Kiwanja kinauzwa Kipo mkundi sheli, pamejengeka vizur sana Kimepimwa na kina hati miliki, Ukubwa ni sqm 780 Bei ni milion 6. 5, bei haipungui, Eneo lina umeme tayari, Piga simu NUNUA KIWANJA SALAMA...KWA FURAHA YA FAMILIA YAKO

ANTONY S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro