26.01.2022Tanzania

Kiwanja Kizuri Sana Kinauzwa.

TZS 87 000 000

Description

Kiwanja kizuri sana kinauzwa mwenyewe amepata dharura anauza kwa haraka kipo kaeneo ya tandika barabara ya kaburi moja. Kiwanja kina hati na kina fensi ya maana na geti la heshima kabisa kama inavo onekana kwenye picha. Maelewano yapo.

Abdillahi.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location