Details
Description
kiwanja kipo kihonda mizani ya zamani kipo karibu na chuo cha afya cha masafa marefu maji yapo umeme upo waweza jenga nyumba ya kuishi/ hostel/ apartment za kupangisha hutojutia kuwekeza ukubwa ni sqm 1700 kipo kwenye kona, kina barabara mbili, kina hati miliki, bei milion 18, 0652644084 / 0767932265 au fika ofisini kwetu kwa maelezo zaid 🌹 SOKONI REAL ESTATE CO LTD- inakupa kilichobora kabisa,