Details
Description
Kiwanja kinauzwa kihonda Yespa Kiwanja kizuri kinauzwa KIHONDA YESPA morogoro manispaa, Kina ukubwa wa sqm 1200 Sehemu kilipo pamejengeka vizur sana nyumba za hadhi, Kuna maji na umeme tayari, Mtaa wote una ulinzi mkali mchana na usiku, Ardhi ni tambarale, Kiwanja kimepimwa na kina hati, Bei milion 13, Piga 0652644084/0734443403