Details
Description
Kiwanja kinauzwa nanenane ,kipo mita mia mbili kutoka maonyesho ya nane nane. kiwanja kinauzwa nanenane morogoro mjini kina kuta tayari pande mbili zilizojengwa nyumba, ukijenga unaunga kuta mbele na nyuma tu, umeme upo maji yapo, ukubwa ni sqm 700, bei milion 9.5