Details
Description
ENEO: Bunju A - Mtaa wa Magule, karibu na Shule ya sekondari Fanaka. NB:- Eneo lina - Nyumba ya vyumba viwili (Vyote ni self) ila haijawekwa milango tu - Visima viwili vya futi 20@ - Maji - Umeme UMBALI: Kilomita 1 kutoka barabara ya Bagamoyo na Mita 60 kutoka barabara ya Bunju - Mbezi. MATUMIZI: Makazi. UHALALI: Lina hati miliki.