Details
Description
KIWANJA KINAUZWA 📍DODOMA, Bahi ✍🏽 *_Kina ukubwa wa ekari 6.55_* ✍🏽 *_Kimefanyiwa mpango mji ila upimaji haujakamilika_* . ✍🏽 *_Kimepimwa kwa matumizi ya 'SERVICE INDUSTRY '_* ✍🏽 *_Kipo umbali wa Kilomita 2 kutoka stendi ya Wilaya ya BAHI. Kimepaka na barabara kuu ya DODOMA↔️ MOROGORO_* 💸 *120mil* *Mazungumzo baada ya kufika site* *🇹🇿LewisBroker* *Call/Whatsapp:0713217001*